Pongezi Hospitali ya Wilaya ya VWAWA, EECC Center ya kwanza, Tanzania.👍🏼👏🏽
Pongezi Hospitali ya Wilaya ya VWAWA, EECC Center ya kwanza, Tanzania.👍🏼👏🏽 Katika warsha ya EECC hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Hospitali ya wilaya ya Vwawa mkoani Songwe, ilitunukiwa nishani ya pongezi kwa kuboresha huduma za EECC kwa wagonjwa mahututi, kuongeza uwezo kwa watoa huduma na upatikanaji wa vifaa vya EECC. Hospitali hii iliteuliwa kama kituo cha umahiri wa EECC,

