Published in Mwananchi Newspaper — Tanzania has cut in-hospital mortality by 31% through its Essential Emergency and Critical Care (EECC) program
Imechapishwa katika Gazeti la Mwananchi✍️ Tanzania imepunguza vifo vya wagonjwa waliolazwa hospitalini kwa asilimia 31 kupitia mpango wa Tiba Okovu na Huduma Msingi kwa Wagonjwa Mahututi (EECC), unaotekelezwa katika vituo 79 vya afya katika mikoa mitano ya Tanzania Bara na Zanzibar. Vifo vilipungua kutoka 116 hadi 81 kwa kila wagonjwa 10,000, utoaji wa huduma muhimu uliongezeka kutoka asilimia 27 hadi