EECC generic slides- swahili version

Essential Emergency and Critical Care (EECC) Ni Tiba Okovu na Huduma Msingi kwa Wagonjwa Mahututi. Ni huduma za msingi kabisa za kuokoa maisha ambazo kila mgonjwa aliye mahututi anapaswa kupokea, bila kujali umri, utambuzi wa maradhi, au mazingira alipo. Huduma hizi zinalenga kutambua mapema hali ya uhitaji wa huduma za dharura na kutoa msaada wa awali kwa kuimarisha kazi za viungo muhimu vya mwili kwa kutumia mbinu bora, nafuu na zinazowezekana kutekelezwa.

EECC imebuniwa ili kutekelezwa katika mazingira yote ya hospitali, kuanzia vitengo vya dharura hadi wodi za kawaida. Slayidi hizi zinatoa muhtasari wa dhana ya EECC, mchakato wake wa kitabibu, mahitaji ya utayari wa hospitali, pamoja na uwezo wake wa kuboresha matokeo na kuokoa maisha katika mifumo ya afya.

About the Author

Leave a Reply

You may also like these