
EECC generic slides- swahili version
Essential Emergency and Critical Care (EECC) Ni Tiba Okovu na Huduma Msingi kwa Wagonjwa Mahututi. Ni huduma za msingi kabisa za kuokoa maisha ambazo kila mgonjwa aliye mahututi anapaswa kupokea, bila kujali umri, utambuzi wa maradhi, au mazingira alipo. Huduma hizi zinalenga kutambua mapema hali ya uhitaji wa huduma za dharura na kutoa msaada wa awali kwa kuimarisha kazi za